bango

bango
---YOU ARE ALL WELCOME TO THE "CITY STAR BOUTIQUE" SATISFACTION GUARANTEED-OPENING HOURS FROM 9AM TO 9PM--

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

Friday, May 13, 2011

OFFICIAL LAUNCH FOR THE CITY STAR BOUTIQUE


Kama mnavyoona duka maaarufu la City Star Boutique lililopo mjini Dar-es-salaam limekamilisha blog yake pekee ambayo itakuwa inatumika kuwajulisha wale wakina dada wajanja wa mjini sehemu ya kukimbilia pale wanapotaka kupendeza. Duka lipo eneo la Namanga Kimweri Road. Ni duka lenye kuuza bidhaa original zitokazo nchi mbalimbali  duniani kama vile Italy, U.S.A, Hong Kong, Turkey na kadhalika. Bidhaa ziuzwazo ni kama vile, viatu  vyenye visigino virefu ( High Heels), visigino vifupi (flat shoes), Sandals, Pochi mbalimbali nguo, na vipochopocho vya aina mbalimbali.
Duka letu linastaff mahili wenye uzoefu na maswala ya mavazi ya wanawake mbao watakusaidia wewe mteja kupata kile roho yako yapenda. Kwa wale wote watakao penda kujua au kuorder chochote kutoka kwenye duka letu au kwa wale wanaohitaji vitu kwa jumla wafike duka lingine la City Star lililopokariakoo kwenye makutano ya mtaa wa congo na mhonda karibu na DDC HALL. Mnaweza kutuandikia kwenye e-mail hii citystarboutique@yahoo.com au kutupigia simu kwenye namba hii 0784829288. karibuni sana ,Esther.


Nje ya Duka
Nguo kede kede 
Ndani ya Duka

Handbags ndivyo kama unavyoziona
.

3 comments:

 1. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 2. You captured photos are gorgeous and article is also wonderful .

  ReplyDelete
 3. Hello guy,
  I appreciated your amazing post . All products are excellent .

  ReplyDelete