bango

bango
---YOU ARE ALL WELCOME TO THE "CITY STAR BOUTIQUE" SATISFACTION GUARANTEED-OPENING HOURS FROM 9AM TO 9PM--

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

Sunday, August 14, 2011

NEW ARRIVALS (OUTFITS) AT CITY STAR BOUTIQUE! Y'ALL ARE WELCOME!
Dada Prisca Akiaga baada ya manunuzi ya vile vitu roho yapenda.


Dada Esther anapenda kuwatangazieni wapendwa wote (Ladies) wa Jiji la Dar-es-Salaam kuwa City Star Boutique kwa sasa imekamilika baada ya kuingiza dukani outfits za kuua mtu. Anawakaribisha muje mtembelee City Star Boutique mjionee na mjipatie outfits za aina mbali mbali. Pia mnaweza kujipatia viatu vya aina mbali mbali kama vile high heels na flat shoes, sandals na accessories mbali mbali!Karibuni.

1 comment:

  1. Professional photography . A lot of thanks for shared .

    ReplyDelete