bango

bango
---YOU ARE ALL WELCOME TO THE "CITY STAR BOUTIQUE" SATISFACTION GUARANTEED-OPENING HOURS FROM 9AM TO 9PM--

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

Saturday, October 22, 2011

Naomba radhi ..

Wadau wapenzi wa blog ya CITY STAR BOUTIQUE, napenda kuwataka radhi kwa kuto update mambo mapya kwenye blog yetu  hii ni kutokana kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu,
lakini sasa nimerudi kwa vishindo mwendo mdundo, nitaendelea kuwa juza bila kuwabania mambo mazuri yaliyopo kwenye boutique ya  city star, na mengine mengi yahusiyo fashion..
Nawatakieni woote usiku mwema..na msisahau kutembelea City star boutique

Esther..

1 comment: