bango

bango
---YOU ARE ALL WELCOME TO THE "CITY STAR BOUTIQUE" SATISFACTION GUARANTEED-OPENING HOURS FROM 9AM TO 9PM--

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

Thursday, May 3, 2012

PATA SASA TICKET YAKO YA SHEREHE YA MUUNGANO WA TANZANIA

HAYA JAMANI TICKET ZA SHEREHE YA MUUNGANO WA TANZANIA ILIYOANDALIWA NA JUMUIYA YA WATANZANIA ROME ITAKAYOFANYIKA TAREHE 12 MEI 2012 ZIPO MITAANI.. KWA WALE AMBAO BADO HAWAJAPATA TICKET ZAO MNAOMBWA MUWASILIANE NA KATIBU NDUGU ANDREW CHOLE MHELLA CELL. 3479094800, E-MAIL watanzaniaroma@yahoo.it AU MWENYEKITI LEONCE UWANDAMENO KWA KWENDA UBALOZINI. TICKET KWA MTU MMOJA NI EURO 35 NA KWA MUME NA MKE IN EURO 60.WAHI SASA TICKET ZIPO LIMITED.MZIKI VINYWAJI MPAKA KUCHEEEEEE!!KUTAKUWA NA ZILIPENDWA, TAARAB, BONGO FLAVA, BOLINGO, KWAITO, RHUMBA NA KIDUKU. NYAMA CHOMA CHINI YA MTAALAM WA NYAMA CHOMA ITALY MZEE JABIR NA MAPOCHO MAPOCHO KIBAO. MGENI WA HESHIMA NI BALOZI WA TANZANIA NCHINI ITALY MH. JAMES MSEKELA AMBAYE NDIO AMEWASILI MAJUZI JUZI TU KWENYE KITUO CHAKE CHA KAZI MJINI ROME. KUTAKUWA NA PERFOMANCE TOKA KWA MSANII WA BONGO FLAVA KL TOKA WABANTU CLICK. NB:TICKET MNAWEZA KUZIPATA PIA JUMAMOS HII KWENYE MKUTANO WA MWISHO PALE VIA PRINCIPE AMEDEO, MAENEO YA TERMINI KWENYE RESTAURANT YA WAHINDI. KARIBUNI SANA. KATIBU ANDREW CHOLE MHELLA

1 comment: