bango

bango
---YOU ARE ALL WELCOME TO THE "CITY STAR BOUTIQUE" SATISFACTION GUARANTEED-OPENING HOURS FROM 9AM TO 9PM--

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

Wednesday, January 2, 2013

HI BLOG YA WASTARABU,

HI GUYS,
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA KUONYESHA MSISITIZO,
NASEMA HIVI  MATUSI HAYARUHUSIWI NDANI YA BLOG YETU, NAMAANISHA COMENT ZA MATUSI HAZIRUHUSIWI,  SITAKUBALI KUACHA MTU MMOJA ATUCHAFULIE HALI YA HEWA HUMU NDANI KWA SABABU ZAKE ANAZOZIJUA YEYE MWENYEWE, UKIONA NIMEFUTA COMENT YAKO UJUE HAINA KIWANGO YAANI HAIJATHIBITISHWA NA MIMI MWENYEWE,

KWAKO WEWE ULIYEPOTEZA MUDA WAKO KUCOMENT MATUSI UMEJITAHIDI SANA ILA NASIKITIKA KUKWAMBIA HIVI COMENT YAKO NIMEIFUTA KAMA UNATAKA KUTUKANA TAFUTA MAHALI PENGINE UKAFANYE HIVYO, HUKU KWETU HUNA NAFASI HIYO,
BLOG HII NI KWA AJILI YA WATU WANAOJITAMBUA, ZINDUKAAA...

NAWATAKIA SIKU NJEMA SASA NA YENYE MAFANIKIO MAKUBWA,
TUKUTANE CITYSTARBOUTIQE..

CIAO BELLISMA

5 comments:

 1. sikujui niko zangu mjauuu, nimeingia kwa blog ya sintah kuna comment zina kuhusu umetukanwaa kuna mtu kakutaja majina yako yote nika google ili nikujue, si unajua tena raha ya umbea umjue msemwaji he hee mambo ya u turn. anyway yaelekea aliyekuchafua ni mtu mmoja ether shoga yako wa karibu anakuonea gere tuu chunga mama ushost wa mjino kazi sana , mie nilikuwa na mashost wengi lakini wee enzi ya ze utam walinikomeshajeee? kwani lazima kuwa na rafiki? si uwe kivyako kimpango wako. muhimu waheshimu wateja wako full stop, stress ndo zinaletea watu wivu ohooo, thanks god nipo majuu na sijawahi kujimix na hii mihayawani ya kibongo marufuku! sintah nae mzandiki tuu

  ReplyDelete
 2. yaan watu wengine sijui wakoje. how come unamsema mtu bila sababu. usijali mamii ester ndo kwanza wanakpandisha juu. nilikuwa sikujui bt now nakujua. watajijuuuuuu wasio na kaz

  ReplyDelete
 3. Umeonaa eeh mdau, huyo ni mtu mmoja tuu na jelous zake, kwa kifupi mi simjui ki hivyo ila namuonaga tuu hana tabu na mtu, huyu mtoto anajua maisha sana, na ni mchakarikaji, kazi kwao hao mafungaembe, wanamuonea wivu tuu tena yawezekana ni huyo huyo sintah ndo anaemzinguka, chezea lecus wewe naona vinawauma vingi, usibabaike na maneno yao Esther maisha popote kaza buti. Waache wao waendelee kupiga domo..

  ReplyDelete
 4. maskini,mi mwenyewe kama mdau wa kwanza nilikua sikujui..ikabidi nigoogle ni nikakuona!!! but sintah's blog ni ushenzini,why unaruhusu comment za kumnanga mtu inamaana na yeye anapenda upigwe madongo!!! chakarika mama,achana na loosers!!!!

  ReplyDelete