bango

bango
---YOU ARE ALL WELCOME TO THE "CITY STAR BOUTIQUE" SATISFACTION GUARANTEED-OPENING HOURS FROM 9AM TO 9PM--

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

Thursday, September 26, 2013

HIVI NI BAADHI YA VITU AMBAVYO BADO VINAPATIKANA DUKANI..

Mambo ya Prada utapata, pochi hizi hata ofisini unaweza kwenda nazo.


Awwwww hapo chini no Nude shoes size 38 viatu Kama hivi hutakiwi kukosaHapa sasa hand bags za ukweli kabisa zikiwemo Celine na Zara
 
Evening lace Dress rangi ya pink Kama inavyoonekana , hizi lace dresses zipo pia za mikono mirefu.

Evening sex Dress hii dress shart uwe na smooth skin lol, zipo na rangi nyekungu pia size 12 
  
Mambo ya Clach sasa hizi ni baadhi tu

Hii jump suit imebakia moja tena small size yaani size 8 hicho ki bag kilo pamoja na hizo heels za Primadonna pia utapata in silver na Gold pia, Je unangoja nini?
Wadau Kama mnavyoona hapo juu hivi ni vitu baadhi tu ambavyo nimewawekea humu, 
Kesho nitajitahidi nipost vitu vingine vingi tu ili mjue ni vitu Vipi ambavyo bado Vipo Kwenye stock ya September, 
City star boutique tunawapenda sana wateja wetu na tunawakaribisha sana,
Kwa wale wa mikoani nafikiri hapa nitakuwa nimewarahisishia Kazi ,
Au unaweza kutu follow Instagram pia kwa Jina hili hili Citystarboutique  ili twende pamoja.

1 comment: