Hawa jamaa wapo chini ya ulinzi wa police Baada ya kukamatwa na hicho kiganja cha binadamu tena kikiwa kibichi Kabisa huko jijini Mwanza,
Walikuwa wakijaribu kukiuza kwa sh million 100,
Inasemekana ni waganga wa kienyeji na huwa wana Uza viungo hivyo kwa wafanyabiara, inasemekana Baada ya kuhojiwa wakadai Ikiwa Mteja wao akihitaji hata kichwa, sehemu za Siri Mguu vyote vinapatikana bila wasi wasi wowote.
This is a excellent post with article .
ReplyDelete