bango

bango
---YOU ARE ALL WELCOME TO THE "CITY STAR BOUTIQUE" SATISFACTION GUARANTEED-OPENING HOURS FROM 9AM TO 9PM--

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

NEW ARRIVALS AT CITY STAR BOUTIQUE

Tuesday, April 17, 2012

POSH BONGE LA OUT NA KIDS WAKE B4 BIRTHDAY YAKE

VICTORIA Beckham ameungana na watoto wake wa kiume katika ya kwenye mchezo wa mpira wa magongo katika mabarafu wiki hii. Mumewe David amekuwa akionekana na watoto wake wa kiume kwenye mechi za mpira wa kikapu, Brooklyn mwenye umri wa miaka 13, Romeo miaka tisa na Cruz mwenye miaka saba. Lakini Victoria aliunagana na ‘madume’ yake hayo na kumuacha mtoto wao wa kike, Harper nyumbani kwenye kiti cha watoto akiangali mechi kati ya Los Angeles Kings na Vancouver Canucks katika Ligi ya NHL Jumapili. Victoria alionekana aliye kwenye dimbwi wakati watoto wake hao wakiangalia mchezo huo. Mwimbaji huyo wa zamani wa kundi la Spice Girl pia alionekana akicheza na mtoto wake mdogo wa kiume, Cruz, ambaye alikuwa amekaa kwenye kiti chake amevalia jezi ya mpira wa magongo. Victoria anasherehekea kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa leo na ameandaa bonge la pati katika ukumbi wa Bouchon Bistro mjini Beverly Hills, na miongoni mwa wageni wanaotarajiwa ni Eva Longoria. Wiki iliyopita, Victoria alisema kwamba watoto wa Beckham wameanzisha bendi. Cruz, ambaye ni mkali wa kuruka ‘majoka’ (breakdances) wakati Brooklyn anapiga gita na Romeo anapiga tumba. Alisema Victoria: “Wanapokwendea kitandani, vijana wanaimba kiitikio cha wimbo Walk Like A Man. "Huo ndio wimbo wao wanaoupenda. Cruz ni mkali sana katika kuruka majoka,”.

1 comment: